Monday, February 6, 2017

AISHI MIAKA 8 BARABARNI KWENYE MFREJEJI WA MAJI RASKAZONE TANGA



Mama Yunnis Mgeta mkazi wa Bombo Erea Tanga, akipika nje ya makazi yake ambayo anaishi kwa zaidi ya miaka 8 kwenye mfereji wa barabara. Mama huyo amefanya makazi yake baada ya khamishwa kwenye nyumba ambayo alikuwa amepanga kwa madai kuwa alikuwa mvamizi.
Mama huyo amedai kuwa toka afanye makazi yake eneo hilo hajatokea msamaria mwema ambaye anaguswa na mazingira yake hivyo kuiomba Serikali kumuangalia kwa jicho la huruma ili kuishi na watoto wake kama ilivyo kwa wengine.





 Wakazi wa Bombo Erea Tanga wakiangalia makazi ya mama Yunnis Mgeta ambayo yupo kwa zaidi ya miaka 8 kwenye mfereji wa barabara. Mama huyo amefanya makazi hayo baada ya alikokuwa akiishi kuondoshwa baada ya kudaiwa kuwa amevamia.

No comments:

Post a Comment