Wednesday, February 8, 2017

MSIMU WA MAEMBA TANGA



 Wachuuzi wa maembe Nyonyo Kasera Kange Tanga wakisubiri wateja, fungu moja la maembe walikuwa wakiuza 1,500 hadi 2,000.
Wachuuzi hao wamekuwa wakitegemea mteja mmoja mmoja baada ya kukosa soko la uhakika na kuuza kwa hasara kuepuka kuwaozea mikononi.
Wakulima na wachuuzi wa maembe wamkuwa wakiiomba Serikali kuwatafutia soko la uhakika pamoja na kuweka mwkezaji wa usindikizaji matunda ili kuwa na uhakika wa soko.






No comments:

Post a Comment