Washukiwa 13 mahakamani kwa tuhuma za biashara ya mihadarati Tanzania

Washukiwa 13
wakiwemo wasanii mashuhuri wamefikishwa mahakamani mjini Dar es Salaam , baada ya ombi maalamu la polisi kutaka wawekwe chini ya
uangalizi kwa kipindi cha mwaka mmoja.Miongoni mwa wale waliohojiwa, alikuwemo msaanii maarufu na miss Tanzania wa mwaka 2006, Wema Sepetu, aliyeitikia wito wa polisi pamoja wasanii wenzake kufika kwa mahojiano.
No comments:
Post a Comment