Tuesday, February 28, 2017

NCHI 10 VINARA WA RUSHWA DUNIANI

Top 10 ya nchi zinazoongoza kwa rushwa Duniani 2017, 5 zinatoka Afrika

Nchi zote duniani zinapinga na zinahakikisha zinapambana ili kutokomeza rushwa kwenye nchi husika, licha ya mapambano hayo bado zipo nchi duniani ambazo rushwa inatajwa kukithiri. Nimekutana na hii list ya nchi 10 duniani ambazo rushwa imekithiri kwa mwaka 2017, katika list hiyo tano ni kutoka Afrika.
10: Eritrea

9: Sudan Kusini

8: Uzbekistan

7: Venezuela

6: Libya

5: Iraq 

4: Afghanistan

3: Somalia

2: Sudan

1: Korea Kaskazini

millardayo

No comments:

Post a Comment