Monday, February 13, 2017

MFEREJI UNAOTOKA VIWANDANI GOFU TANGA UNADAIWA KUWA KERO



 Mfereji wa majitaka nyuma ya soko la Mgandini Tanga  unaotoka viwandani Gofu ukiwa na maji yaliyotuwama na kutoa harufu kali na  kuzusha hofu ya kuzuka magonjwa ya miripuko.
Mfereji huo unaodaiwa kuwa maji yake yanatoka viwandani ni hatari endapo kama utakuw ana kemikali zozote za madawa ya viwandani.






No comments:

Post a Comment