Wednesday, February 22, 2017

BIASHARA KUELEKEA MJINI



Wafanyabiashara wa kuuza mkaa wakitokea Maramba Wilayani Mkinga Mkoani Tanga wakipeleka mjini kutafuta soko, gunia moja la mkaa huuzwa 25,000 hadi 30,000.






No comments:

Post a Comment