Friday, February 17, 2017

CHEMBA ILIYOKO MBEMBEZONI MWA SHULE YA CHANGA YADAIWA KUWA HATARISHI



Wakazi wa Chumbageni shule ya Msingi Changa Tangawakiangalia chemba la majitaka likitiririsha maji maji machafu barabarani na kutoa harufu mbaya na kuwa kero kwa wanafunzi na watumiaji wa barabarani.
Chemba hiyo inadaiwa kuwa hatarishi baada ya wakazi wa eneo hilo kuhoji wahusika wako wapi ambapo yapata wiki mbili bila kupatiwa ufumbuzi licha ya kutolea taarifa mamlaka husika.
Chemba hiyo iliyoko barabara ya Tanga Horohoro njia ielekeayo Mombasa nchini Kenya barabara ya kuelekea soko la pamoja la Afrika Mashariki



 Wanafunzi wa shule ya Msingi Changa Tanga wakiangalia chemba iliyoko karibu na shule yao  lililoko karibu na shule yao ikitiririsha maji machafu na kutoa harufu mbaya na kuwa kero kwa wanafunzi darasani na watumiaji wa njia hiyo.




No comments:

Post a Comment