Tuesday, February 21, 2017

TUNAELEKEA BANDARINI SAHARE KUNUNUA SAMAKI


Wachuuzi wa samaki Tanga wakielekea bandarini Sahare kununua samaki na kutembeza mitaani kwa kutumia gari ya Punda kama walivyoonekana barabara Tanga Beach Sahare






No comments:

Post a Comment