Saturday, February 18, 2017

APANDIKIZWA USO MWENGINE

Sikutarajia ningekuwa nilivyo baada ya upasuajiDr Samir Mardani anamuonyesha picha za utoto wake kabla ya kufanyiwa upasuajiUlikuwa upasuaji wa kwanza kufanyiwa mtu katika kituo hicho

Upasuaji huo ulichukua saa 56 na ulishirikisha madaktari 60Andy Sandness alisafirishwa na kuingizwa ndani ya chumba cha upasuaji katika kliniki ya Mayo huko Rochester Minnesota ili kufanyiwa upasuaji usio wa kawaida duniani.
Wiki tatu baadaye alijiangalia kwenye kioo asijue ni nini angeona.
Sura alioona katika kioo haikuwa yake bali ya mtu mwengine ,pua, mashavu, mdomo, taya kidevu na hata meno ya mtu aliyemfadhili kiungo hicho Calen Ross.
.
Akishindwa kuzungumza vizuri baada ya kuona uso wake mpya , Sandness aliandika ujumbe kwa madaktari wake na familia akisema.'Sikutarajia'' .

No comments:

Post a Comment