Saturday, February 11, 2017

WAFANYABIASHARA WA MATUNDA TANGA WALALAMIKA KUKOSA SOKO



Maembe yakiwa yamerundikana soko la Mlango wa Chuma Masiwani Tanga baada ya kukosa wateja, Wafanyabiashara hao wamelalamika kukosa soko la kuuzia maembe yao na badala yake wamekuwa wakiuza kwa mteja mmoja mmoja kwa hasara kuepuka kuwaozea mikononi.
Wafanyabiashara hao wameiomba Serikali kuwekeza kwa kujenga kiwanda cha kusindika matunda na kuwa na uhakika wa soko na kuepuka kulanguliwa na walanguzi wa bei na kuoza mikononi.






No comments:

Post a Comment