Wafanyabiashara usafirishaji wa usafiri nchi Kenya, yanayofahamika kama matatu
wamefanya maandamano kulalamikia hali mbaya ya barabara kwenye mitaa ya
mji mkuu Nairobi.Kituo kimoja cha redio kimetuma picha ya waandamanaji wakipanda mgomba wa ndizi barabarani kwenye mtaa wa Kayole, kama njia ya kusema kuwa barabara iyo inaweza kuwa bora kwa kilimo kuliko iwe barabara ya magari.
BBC
No comments:
Post a Comment