Thursday, January 29, 2015

ALICHOKIANDIKA SHILOLE KWA WASHABIKI WAKE

Alichokiandika Shilole kwa Mashabiki kuhusu ishu ya kumpiga Nuh Mziwanda.

.
.
Kama unakumbuka mnamo Jan 28, 2015 msanii Shilole alikana kuhusu taarifa za kumpiga mpenzi wake Nuh Mziwanda.
Sasa leo kwenye ukurasa wa Instagram  Shilole amepost picha na  ujumbe wa kuwaomba radhi mashabiki wa muziki kuhusu kitendo alichomfanyia msanii mwenzake ambaye ni mpenzi wake Nuh Mziwanda.
‘Hii ni kwa mashabik wangu wote nawapenda sana pili! Nawaomba radhi kwa kitendo kilichotokea juz binafsi sikupenda but ni hasira tu. Mm pia ni binadamu so kukosea ni kawaida so pili nimuombe na mpenzi wangu kwa nilichofanya! Nawapenda sana haitojitokeza tena one lv sana’—aliandika @

Hakuna story itakayokupita mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com

No comments:

Post a Comment