Sunday, January 25, 2015

KIKWETE AWASILI RIYADHI KUHANI KIFO CHA MFALME ABDALLAH AL SOOUD

KIKWETE AWASI|LI RIYADH KUHANI KIFO CHA MFALME WA SAUDI ARABIA


unnamed1jk
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika Uwanja wa Ndege wan Kijeshi mjini Riyadh, Saudi Arabia, asubuhi ya leo, Jumapili, Januari 25, kuhani kifo cha Mfalme Abdullah bin Abdul Aziz al Saud aliyefariki Alhamisi na kuzikwa
Ijumaa ya wiki iliyopita. Baada ya kuhani msiba wa Mfalme Abdullah, Rais Kikwete ataendelea na safari yake kwenda nchi za Ujerumani na Ufaransa kwa ziara za kikazi.
unnamedjk
.

No comments:

Post a Comment