Wednesday, January 28, 2015

Taarifa kuhusu kuachiwa kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania.

latest-news-fotó-650x350Hii ni taarifa ambayo imetoka punde  jioni hii  ya January 28 na kusambazwa ikiwa ni kuhusu kuachiwa kwa dhamana kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania ambaye alikamatwa jioni ya January 26,kisha kupelekwa Dodoma sehemu ambako inasemekana ndiko ilikofunguliwa kesi yake.
Wafanyabiashara wa mikoa ya Morogoro,Tanga na Iringa nao waliungana na wafanyabiashara wa Kariakoo kutofungua maduka yao kwa kile walichokieleza kuwa mpaka hatma ya Mwenyekiti wao huyo kuachiwa huru.
MINJA (2)
Johnson Minja baada ya kuachiwa huru.
Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia, www.tangakumekucha.blogspot.com

No comments:

Post a Comment