Thursday, January 29, 2015

PICHA ZA SELFIE YAUWA WATATU INDIA

Walijipanga kupiga SELFIE mbele ya treni, wakapatwa na ajali hii

selfieeeUpigaji wa picha kwa njia ya Selfie umeendelea kuwa gumzo dunia nzima na kufanya ongezeko kubwa la matumizi ya simu za smartphone.
Wanachuo watatu huko New Delhi, India Yakub, Afzal na Iqbal wamefariki wakiwa wameweka pozi mbele ya treni kwenye reli.
sefPolisi walisema mmoja wa wanafunzi hao ambaye alinusurika kwenye ajali hiyo amesema walikuwa wakisafiri kwa gari kwenda kwenye mji wa Agra, wakasimama eneo hilo ili kupiga selfie wakati treni hiyo ikiwa karibu kisha kushare na marafiki zao mitandaoni.
Hakuna story itakayokupita mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupiti,www.tangakumekucha.blogspot.com

No comments:

Post a Comment