Wednesday, January 28, 2015

CHATU MTU UFILLIPINO, KUWA MAKINI UENDAPO

Unapokaribishwa Ufilipino na hii massage ya Chatu mtu wangu!

article-0-1E0F9D0400000578-296_634x356Unaambiwa kuwa wageni wengi wanaotembelea bustani ya Cebu Zoo, Ufilipino moja ya vitu ambavyo wanafurahia ni hii ya huduma ya kufanyiwa massage na nyoka aina ya chatu.
Nyoka wanaofanya hii wako wanne, wamepewa majina kabisa, wanaitwa Michelle, Walter, EJ na Daniel.
Wakati ilipoanzishwa ilikuwa ni huduma ya bure, lakini kwa sasa ni biashara, chatu hao wanahitaji kula kuku kumi kila mmoja kabla ya zoezi la massage kuanza.
Msimamizi wa bustani ya wanyama ambapo inatolewa huduma hiyo, Giovanni Romarate amesema wakati wanaanza biashara hiyo wageni walikuwa wanaogopa, lakini wengi waliojaribu waliipenda na sasa  hutolewa kwa kulipia, kila kinachopatikana kinatumika kuboresha bustani hiyo.
article-0-1E0F9D1D00000578-840_634x356
Python-Massage (1)
Pythons-Massage
article-0-1E0F9C4300000578-214_634x356
article-0-1E0F9D0400000578-296_634x356
deadly-python-massages-are-somehow-a-real-thing
imgsfubo
Snake massage at Cebu City Zoo.

Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupiti,www.tangakumekucha.blogspot.com

No comments:

Post a Comment