Kanye West amekuja na video ‘Only one’ ndani yumo mtoto wake North
Rapa Kanye West ameamua kumpa shavu mtoto wake North West katika video mpya ya ‘Only one‘ aliyomshirikisha Paul MacCartney.Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia,www.tangakumekucha.blogspot.com
No comments:
Post a Comment