Sunday, January 25, 2015

UCHAGUZI WA ZAMBIA ----MATOKEO YATANGAZWA



Uchaguzi wa Rais Zambia…Matokeo yako hapo

lunguMgombea wa chama tawala cha Patriotic Front, Edgar Lungu ameshinda uchaguzi wa urais nchini Zambia.
Kwa mujibu wa Tume ya uchaguzi nchini humo imesema kuwa Lungu ambaye alikuwa Waziri wa ulinzi wa nchi hiyo amepata asilimia 48 ya kura zilizopigwa na alikabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa mgombea wa upinzani Hakainde Hichilema.
stt
Aliyekuwa rais wa muda wa Zambia Guy Scott akiwa na rais mpya Edgar Lungu
Uchaguzi huo uliandaliwa kufuatia kifo cha rais Michael Sata ambaye alifariki dunia mwezi Oktoba mwaka jana na nafasi hiyo kushikiliwa na Guy Scott.
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia, tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment