Thursday, January 29, 2015

MIPANGO KABAMBE MFUKO WA AFYA YA JAMII, TANGA

 ,Mfamasia wa Mkoa wa Tanga, Jeses Alfred Shayo, akizungumza wakati wa kikao cha  kujadili mpango wa mfuko wa bima ya afya ya jamii na kusaini mkataba wa uhamasishaji wa CHF kwa Wilaya ya Lushoto na Muheza Tanga kikao kilichofanyika ukumbi wa hospitali ya Mkoa ya Bombo leo
.


  Kaimu Mkurugenzi wa TNCHF, Meremba Tawa, akizungumza katika kikao cha kujadili mpango wa mfuko wa bima ya afya ya jamii na kusaini mkataba wa uhamasishaji wa CHF kwa Wilaya ya Lushoto na Muheza Mkoani Tanga kikao kilichofanyika  ukumbi wa hospitali ya Mkoa ya Bombo leo

Washiriki wa kikao cha kujadili mpango wa mfuko wa afyaya jamii na kusaini mkataba wa uhamasishaji wa CHF kwa Wilaya ya Lushoto na Muheza Mkoa wa Tanfa na kufanyika ukumbi wa hospitali ya Mkoa ya Bombo leo

No comments:

Post a Comment