Thursday, January 29, 2015

USHER RAYMOND ATOA BONGE LA SHOO MITAANI NA KUWAACHA WATU KATIKA BUMBUWAZI

Usher Raymond aliingia zake mtaani, akatoa bonge la burudani lakini hakuna aliyemjua!

Usher IIMkali wa R&B Usher Raymond aliingia mtaani akiwa amevaa nguo ambazo watu hawakumtambua, akaachia bonge la burudani kwa kuachia bonge la show.
Waliosimama kumuangalia walivutiwa na vitu viwili, kwanza ni mavazi ya rangi ya dhahabu aliyoyavaa na pia namna alivyocheza vizuri.
Burudani hiyo aliitoa California, Marekani na baada ya watu hao kujua kwamba jamaa huyo ni Usher walishangilia kumuona staa huyo na kuanza kupiga nae picha.
ray1
EXCLUSIVE: Usher hides behind a mask to surprise his fans in Venice, CA
ray4
Hutopitwa na lolote mtu wangu niko tayari kutumia muda wangu kukupa kila linalotokea ndani na nje ya nchi kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com

No comments:

Post a Comment