Wednesday, January 28, 2015

MGOMO WA WAFANYABIASHARA WENYE MADUKA, TANGA

 Wafanyabiashara wenye maduka barabara ya 13 Ngamiani Tanga wakiwa nje ya maduka yao kuunga mkono mgomo wa kupinga kodi ulioitishwa na kiongozi wa wafanyabiashara taifa,Johson Minja jana.
.

 Mfanyabiashara mwenye duka barabara ya 13 Ngamiani Tanga, Osama Mlayi, akifunga duka lake kuunga mkono mgomo wa wafanyabiashara kupinga kuongezeka kodi maradufu ulioitishwa na kiongozi wa wafanyabiashara taifa, Johson Minja jana


Mfanyakazi wa duka la oil la barabara 12 Ngamiani Tanga, Mangome Othman, akifunga duka kuunga mkono mgomo wa wafanyabiashara kupinga kuongezeka kwa kodi ulioitishwa na kiongozi wao wa taifa, Johson Minja jana

No comments:

Post a Comment