Binti huyu alipiga picha na kusambaza kwenye mitandao ya kijamii, baada ya hapo ni Stori!
Wazazi
wamekua na nafasi kubwa sana katika malezi ya watoto wao hata wakati
pale wanapokuwa watu wazima lakini baba huyu kutokana na upendo kwa
mwanaye aliamua kujiua baada ya kuona picha za mtoto wake alizopiga
akiwa mtupu katika jarida la Playboy nchini Romania.Kwa mujibu wa mtandao wa The Mirror, msichana huyo akisimulia kwa machungu baada ya kifo cha baba yake alisema hakutegemea kama ipo siku baba yake angekasirika kiasi cha kujitoa uhai.
Kutokana na maadilili picha hizo hatutaziweka picha hizo
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia,www.tangakumekucha.blogspot.com

No comments:
Post a Comment