Tuesday, January 27, 2015

MAMA AMCHOMA MTOTO WAKE MOTO, KISA KUJINYEA KWENYE NGUO

Mama kumchoma mtoto wake.

 img_5916-african-child-cry-sad
Matukio ya ukatili kwa watoto yameendelea kushamiri  inahusu mtoto aliyeunguzwa vibaya na mama yake kwa madai ya kujisaidia kwenye nguo.
Majirani  kwa kushirikiana na wanaharakati  walimpeleka Hospitali ya Mwananyamala mtoto huyo akalazwa lakini bibi yake alimchukua akiwa hajapatiwa matibabu yoyote na kurudi nae nyumbani kwa maelezo kuwa ana watoto wengine nyumbani ambao anatakiwa kuwahudumia.
Alipoulizwa sababu ya mtoto huyo kuchomwa na mama yake amedai kuwa anahisi mama yake anahasira kutokana na baba wa mtoto huyo kumkataa kuwa sio mtoto wake na wakati  mtoto huyo anapigwa yeye hakuwepo.
gea 55mmmHautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia,tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment