Friday, January 30, 2015

DAVIDO NA VIDEO YAKE KALI, JE , UNAWEZA KUMTAMBUA HAPA

 Davido ametusogezea  video mpya- The Sound

.
.
Staa wa Nigeria David Adedeji Adeleke aka Davido time amekuletea video ya single mpya inayoitwa The Sound akiwa amewashirikisha Dj Buckz pamoja na kundi la Uhuru kutokaea Afrika Kusini.


Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia,www.tangakumekucha.blogspot.com

No comments:

Post a Comment