Wednesday, January 28, 2015

P SQUARE YATOA TAARIFA YA MAZISHI YA BABA YAO

P Square wametoa taarifa kuhusu mazishi ya baba yao…

.
Mzee Moses Okoye na mtoto wake Peter wa P Square. Hii ilikuwa siku ya harusi ya Peter.
November 26, 2014 taarifa kubwa kutoka Nigeria ilikuwa ni taarifa ya msiba wa mzee Moses Okoye, baba mzazi wa mastaa wa muziki kutoka Nigeria, P Square.
psquarep
Tangu mzee huyo afariki ni miezi miwili sasa, yamepita matukio mengi huenda tukawa tumeanza kusahau tukio hilo, story iliyoko mitandaoni kutoka Nigeria ni kuhusu ndugu pamoja na familia ya mzee huyo kuandaa mazishi yake.
Tarehe ambayo imepangwa kufanyika mazishi hayo ni January 30, ambayo ni kesho siku ya Ijumaa.
Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia,www.tangakumekucha.blogspot.com

No comments:

Post a Comment