Tuesday, January 27, 2015

KANYE WEST AMPIGA TAFU MWANADANI WAKE

Ya Kanye West kusimamia mkewe akijaribu nguo nayo imepewa headlines mitandaoni…

Kim K
Baada ya ile story ya Kim Kadarshian ku-breaktheInternet mengi yalikuwa yakijadiliwa mitandaoni, wapo waliokuwa wakihoji eti rapper Kanye West anachukuliaje tukio lile la Kim kwa nafasi yake kama mume?
Baada ya hiyo, kuna hii ambayo iko mitandaoni leo, Kim yuko na deal yake kupiga pichaz kwa ajili ya Kampeni ya Matangazo nguo za Balmain, unaambiwa Kanye West alikuwepo mwanzo mpaka mwisho akimcheki mkewe akijaribu nguo mbalimbali kwa ajili ya matangazo ya Kampeni hiyo.
Sasa ishu ya Kanye West kuwepo imepewa tafsiri nyingi pia mitandaoni, wapo waliosema eti safari hii Kanye kaamua kumsimamia mkewe  bega kwa bega kuhakikisha hakuna tena tukio la Break the Internet kama ile ya mwaka jana.
Kim IV
Kim IX  Kim V
Kim XI
Kimx
Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupiti,www.tangakumekucha.blogspot.com

No comments:

Post a Comment