Tuesday, January 27, 2015

YEMI ALADE AJA NAKIBAO KIKALI CHA MWAKA

Tukae tayari kwa hii mpya ya YEMI ALADE, kashare na sisi kilichoendelea Behind the Scene (PICHAZ)

Yemi-Alade-Taking-Over-Me-Video-Shoot-4-600x400
Ukiangalia video yake ya ‘Johnny’ na ‘Tangarine’, au namna alivyofanya vizuri kwenye video ya ‘Baby Hello’ ya staa mwenzake wa Nigeria, Wande Coal; unaona ni jinsi gani staa huyu wa muziki Yemi Alade yuko vizuri kwenye kuifanya video kupendeza.
Ana nyimbo kali kibao,  ambazo zimefanya Afrika tumtambue staa huyu kutoka Nigeria, mpya kutoka kwake ni kwamba ametupa ishara tukae tayari kuiona video yake mpya muda wowote kuanzia sasa.
Kashea na sisi picha za Behind the Scenes, wimbo ulifanywa na Producer GospelonDeBeatz, wimbo unaitwa ‘Taking Over Me’ humo ndani kapewa  staa mwingine kutoa Naija, rapper Phyno.
Kingine ni kwamba video hii inafanywa Nigeria na South Africa, nimeshea na wewe hizi za Behing the Scenes.
Yemi-Alade-Taking-Over-Me-Video-Shoot-600x400
Yemi-Alade-Taking-Over-Me-Video-Shoot-15-600x400
Yemi-Alade-Taking-Over-Me-Video-Shoot-13-600x400
Yemi-Alade-Taking-Over-Me-Video-Shoot-12-600x400
Yemi-Alade-Taking-Over-Me-Video-Shoot-11-600x400
Yemi-Alade-Taking-Over-Me-Video-Shoot-2-600x400
.
Yemi Alade na dancers wake wakiwa location.
.
Yemi Alade na rapper Phyno wakiwa location.
Yemi-Alade-Taking-Over-Me-Video-Shoot-6-
Yemi-Alade-Taking-Over-Me-Video-Shoot-10-
Hapa unaweza kuisikiliza ‘Taking Over Me’ kwa kubonyeza play.

Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia,tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment