Monday, January 26, 2015

MTOTO AZALIWA NA MENO MAWILI YA MBELE

Huu ndio uamuzi aliouchukua Mama huyu baada ya mwanaye kuzaliwa akiwa na meno

born
Ni jambo la kushangaza kidogo kuona mtoto akizaliwa huku akiwa na meno tayari lakini mama huyo anayeishi katika mji wa Missouri, Marekani ametamka kuwa hataweza kumnyonyesha mtoto wake aliyemzaa baada ya kugundulika kuwa amezaliwa akiwa na meno mawili ya mbele.
Wamesema alizaliwa akiwa na meno mawili ya mbele,imekua ni mshtuko kwa kila mtu kwani ni jambo la ajabu kidogo:-Bailey
Alisema mbali ya watu kushangaa pia madaktari walikua wakishangaa.
Alisema kutokana na hali hiyo Alyssa Bella atakua akinywa maziwa ya kopo na si kunyonya.

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupiti,tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment