Pale ambapo Rose Muhando anamtaja msanii wa bongofleva anaemkubali.
Sio
zile stori ambazo tumezoea kuzisoma au kuziona kwenye hii mitandao
ambayo tunapita kila siku…. lazima uwe na hamu ya kujua jibu lake iwapo
staa wa gospel kama Rose Muhando ataulizwa anamkubali msanii gani wa
bongofleva?Kikawaida siku zote msanii huyu wa bongofleva husifika kwa kufanya show kali sana, yani akiwa kwenye stage hata kama huzijui nyimbo zake lazima ataweza kukuteka tu ambapo haya maneno ya Rose Muhando yalifata baada ya mkali huyu kupiga show Singida kwenye miaka 10 ya Waziri Lazaro Nyalandu ambae pia ni Mbunge Singida.
Hakuna story itakayokupita mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupiti,www.tangakumekucha.blogspot.com
No comments:
Post a Comment