Monday, January 26, 2015

PAULINA VEGA WA COLOMBIA ATWAA TAJI LA MIS UNIVERSE

Mrembo wa Colombia Paulina Vega atwaa taji la Miss Universe 2014. (pichaz)

colombia4Baada ya kile kinyanganyiro kilichowakutanisha warembo 88 kutoka Duniani kote katika shindano la Miss Universe 2014, kufikia tamati January 25 hatimae Miss Colombia Paulina Vega 22, ameweza kuibuka mshindi katika mashindano hayo.
Fainali za shindano hilo zilifanyika katika ukumbi wa FIU Arena huko Miami florida, huku mrembo pekee kutoka Nigeria Celestine Queen akifanikiwa  kuiwakilisha Afrika kwa kushinda taji la mtu mwenye Upendo.
462232770 - Copy
461955334
462218048
462218054 - Copy
462218064 - Copy
462218070 - Copy
462218090 - Copy
462218166
462216682
461955460 - Copy
zap-2015-miss-universe-national-costume-photos-083Hakuna story itakayokupita mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia,tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment