Monday, January 26, 2015

JUMUIYA YA WAZAZI TANGA YATOA MSAADA KWA WAZEE KITUO CHA KISOSORA

 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Tanga, Hamis Nnabai (kushoto) akiwakabidhi msaada wa unga, sukari na mafuta vyenye thamani zaidi ya shilingi 150,000 wazee kituo cha Kisosora Tanga ikiwa ni shamrashamra za Jumuiya hiyo kutimiza miaka 38.



  Katibu wa Wazazi CCM Wilaya ya Tanga, Asia Seif (kulia) akikabidhi msaada wa unga, sukari na mafuta wenye thamani zaidi ya shilingi 150,000 wazee kituo cha Kisosora Tanga ikiwa ni shamrashamra za Jumuiya hiyo kutimiza miaka 38.



No comments:

Post a Comment