Thursday, January 29, 2015

SISTER ALIEKULA KIAPO CHA UTAKATIFU AJIFUNGUA MTOTO, ITALY

Nimekusogezea hii ya Sister aliyejifungua mtoto wa kiume Italy…

nun_635x250_1390217286Utata umeibuka  baada ya sister wa Kanisa Katoliki huko Italy aliyekuwa akilalamikia maumivu ya tumbo na kukimbizwa Hospitali na kujifungua mtoto wa kiume licha ya kuishi katika Jumuiya hiyo ya wanawake watupu.
Sister huyo  mwenye umri wa miaka 31 yupo kwenye kikundi cha masista cha Santa Chiara Italy, asili yake ni Amerika ya Kusini, alilalamikia maumivu makali  ya tumbo baadaye alianguka, madaktari walifika katika eneo hilo na baada ya kumfikisha Labour alijifungua.
Watu wengi wameshindwa kuelewa kwa jinsi gani ameweza kupata ujauzito licha ya kula kiapo cha usafi wa moyo na utii.
tIL9B3Y-360Tukio linalofanana na hili lilitokea mwaka jana baada ya sister mmoja wa Salvador ambaye umri wake ni miaka 33 ambaye alijifungua mtoto wa kiume na kumpa jina la Papa Francis.
Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia,www.tangakumekucha.blogspot.com

No comments:

Post a Comment