Monday, January 26, 2015

LUPITA NYONGO ASHINDA TUZO ZA SAG

Lupita Nyong’o, ashinda tuzo za SAG 2015, Marekani

pita
Lupita Nyongo ameendelea kuonyesha kuwa yeye ni bora zaidi Ulimwenguni na safari ameshinda tena katika tuzo za SAG zilizofanyika Los Angeles, Marekani baada ya kushinda mwigizaji bora akishirikiana na Jared Leto.
Katika tuzo hizo zilizofanyika jana Lupita alikua kivutio kwa watu wengi kutokana na vazi lake refu lililoandaliwa na mwanamitindo Ellie Saab na mwonekano tofauti wa nywele zake ambazo mara nyingi alikua akionekana na nywele fupi.
lupi2
pitaa
Lupita Nyong”o akiwa na Jared Leto katika tuzo hizo
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia, tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment