Sunday, January 25, 2015

BODABODA TANGA WAPINGA UTITIRI WA KODI

 Wafanyabiashara wa pikipiki na bajaj  maarufu kama bodaboda jiji la Tanga, wakiwa katika kikao cha kulalamika wingi wa kodi wanazotakiwa kulipa zikiwemo za maegesho na za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kilichofanyika leo asubuhi ukumbi wa Polisi Messi




No comments:

Post a Comment