Hizi ni Beach 15 kali zenye mvuto duniani..
Beach
imekua ni sehemu ya watu kupumzika na kupoteza mawazo mara baada ya
kazi za juma zima na mara nyingi watu hupenda kutembelea mwishoni mwa
juma.Kuna fukwe nyingi duniani ambazo zimejipatia umaarufu mkubwa kutokana muonekano pamoja na watu kupenda zaidi kutembelea, na hizi ni fukwe 15 zenye mvuto zaidi duniani:-

6.
Anse Lazio, Praslin Island-, hii ndio fukwe pekee kutoka Afrika
iliyoingia katika nafasi 10 bora duniani, ipo katika visiwa vya Shelisheli

11 Camp’s Bay Beach, hii iko Afrika Kusini ni fukwe ya pili kutoka Afrika iliyofanikiwa kushika nafasi za juu duniani.
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia , niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com













No comments:
Post a Comment