Saturday, February 14, 2015

CHAKONJA AKANUSHA KUWEPO KWA ALSHABAAB TANGA

 Kamishna wa polisi Operesheni na Mafunzo Tanzania, Paul Chagonja, akizungumza na waandishi wa habari Tanga mchana huu, kufuatia Polisi kurushiana risasi na majambazi waliokuwa wamejificha katika mapango ya Amboni Tanga ambapo askari sita walijeruhiwa  na kulizungumzia suala hilo halihusiani na masuala yoyote ya mitandao ya kihalifu ikiwemo Alshabaab na Al qaida





No comments:

Post a Comment