Muonekano wa North West akiwa na ‘Bulletproof’ kwenye show ya baba yake

Safari hii Kim Kardashian na mumewe Kanye West waliamua kumvalisha North Bulletproof
kama moja ya kifaa cha kumkinga na madhara yoyote wakati walipohudhuria
kwenye fashion show ya Kanye iliyofanyika katika mji wa New York
alhamisi iliyopita
No comments:
Post a Comment