Thursday, May 14, 2015

AMANI BURUNDI YAYEYUKA

Breaking: Burundi watu wote ndani, Wanajeshi kwa Wanajeshi wanapambana.

Breaking‪Kutoka Bujumbura Burundi taarifa za sasa ni kwamba raia wameamriwa kutotoka nje, milio ya risasi inasikika, Wanajeshi watiifu wa Rais wanapambana na waliompindua.
Kingine ni kwamba kituo binafsi cha Radio kilichotumika kutangaza mapinduzi ya Kijeshi kimechomwa moto saa tisa usiku wa kuamkia leo na Wanajeshi wanaomtii Rais, taarifa nyingine kutoka Burundi utazisikia
Usiwe mbali nami nitakutarifu kila kinachotokea hapa hapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment