Mabibi na Mabwana! Pacquiao karudi kwao Ufilipino akitokea Marekani ! picha ziko hapa
Pacquiao
alionekana muda wote akiwa na furaha licha ya maumivu ya upasuaji wa
bega pamoja na kutofanya kile alichokidhamiria katika pambano hilo
lililoweka historia duniani lililofanyika May 2, Las Vegas, Marekani
Pacquiao
alipigwa kwa pointi na mpinzani wake na mara baada ya pambano kuliibuka
lawama kuhusu bondia huyo kucheza huku akiwa mgonjwa
Usiwe mbali nami kwa habari na matukio moto moto, ni hapa hapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment