Monday, May 4, 2015

MTOTO WA MIAKA 5 NA KIPAJI CHA CONFUU

Mtoto wa miaka mitano na kipaji chake.. Ukimcheki ni kama Bruce Lee

dogo

Kipaji cha mtoto huanza kuonekana tangu akiwa na umri mdogo lakini kipaji cha mtoto huyu kimewavutia wengi baada ya kukimudu vyema angali akiwa na umri mdogo.
dogo2
Akiwa na miaka yake mitano tu Ryusei kutoka Japan alimudu vyema kucheza mchezo wa kung fu kama mkongwe wa mchezo huo duniani mwigizaji Bruce Lee bila hata kuangalia video yake.
Kitendo hicho kilimfurahisha sana baba yake na kuamua kushare video ya mtoto wake kwenye mitandao ya kijamii  akiigiza mtindo wa nunchuk ambayo mkongwe wa mieleka alikua akiitumia huku akiwa ameweka video ya Bruce Lee kwa nyuma.

No comments:

Post a Comment