Tuesday, May 12, 2015

NEPAL WAKUBWA TENA NA TETEMEKO LA ARDHI

Tetemeko la ardhi Nepal limerudi tena kwenye Headlines…

nepal2
Wakiwa bado hawsajasahau tetemeko lililotokea takribani majuma mawili yaliyopita, jana raia wa Nepal walikumbwa na tetemeko lingine kubwa .
Tetemeko la kwanza lilisababisha vifo vya watu zaidi ya 8,000 na inasemekana kuwa tetemeko hilo limeanzania katika mji wa Namche Bazar karibu na milima ya Evarest.
nepal
Inasemekana tetemeko hilo limefikia kipimo cha mil 7.4 ikilinganishwa na awali ambalo lilifikia kipimo cha 7.8 na tayari watu 29 wameripotiwa kupoteza maisha huku wengine zaidi ya 1000 wakijeruhiwa vibaya.
nep
Hutopitwa na habari inayonifikia na niko tayari kukutumia muda wowote kupitia hapa hapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment