Tuesday, May 12, 2015

NIDA WATUA TANGA KUSAJILI VITAMBULISHO VYA TAIFA





Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Abdalla Lutavi, akizungumza na waandishi wa habari leo ofisni kwake , kuzungumzia wananchi kushiriki kikamilifu katika zoezi la kujisajili vitambulisho vya Taifa.



  Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Abdalla Lutavi, akizungumza na waandishi wa habari leo  kuzungumzia wananchi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika zoezi la usajili vitambulisho vya Taifa, kulia ni Afisa Tawala ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Mashaka Makaku.
 Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Abdalla Lutavi, akizungumza na waandishi wa habari leo, kuzungumzia wananchi kushiriki kikamilifu katika zoezi la kujisajili vitambulisho vya Taifa.
 Afisa habari mkuu Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa, Rose Mdami, akizungumza na waandishi wa habari namna ambavyo zoezi la usajili vitambulisho vya Taifa linavyoendelea na kusema kuwa hadi sasa hakuna kasoro ambazo zimejitokeza na hivyo kuwataka wananchi kujitokeza kwa wingi.

No comments:

Post a Comment