Saturday, May 16, 2015

NI DR, WEST

Baada ya Dr. Kanye West mwingine ni Rapper Dr. Common??

Common
Tukizungumzia mastaa wa Bongo ambao wana kiwango cha cha juu cha elimu, kwenye list majina ya mastaa kama Nikki wa Pili, Mwana FA, C Pwaa haya ni baadhi ambayo huwezi kuyaruka.
Alianza Kanye West kwenye headlines ndani ya wiki hii baada ya kupata Degree ya heshima School of Art Institute of Chicago, Marekani.. mapaparazzi nao wamempa jina jipya tayari Dr. West.
kanye-west-graduation-doctorate-081
Rapper Common nae hayuko mbali.. Story kutoka Illinois Chicago, Common nae katunukiwa Degree ya heshima ya Udaktari toka Chuo cha Winston-Salem State University.
common-glory
Common alikuwa mmoja ya wageni rasmi walioalikwa kwenye mahafali hayo ambapo alipata nafasi kuhutubia wageni rasmi kwa kama dakika 27 hivi.. alikuwa na story nyingi kuhusu maisha yake ikiwemo ishu ya kuacha Chuo na kuamua kufanya muziki.   
Kaifurahia heshima hii kubwa aliyopewa,

No comments:

Post a Comment