Monday, May 11, 2015

SARE YA CHAMA YAMZUIA KUINGIA UKUMBINI

Wamealikwa kwenye shughuli, lakini sare waliyovaa ikafanya wazuiwe.. Inahusishwa na tofauti za kisiasa !!

Invitation
 leo imetokea Ilala Dar, hii ni kama imefungua milango ysa Uchaguzi.
Ilala palikuwa na shughuli ambapo Bibi Harusi alikuwa akifanyiwa sherehe ya maandalizi ya ndoa, msichana mmoja na wenzake wameandaa sare zao kwa ajili ya shughuli hiyo, baada ya kufika Ukumbini wakazuiwa kuingia kisa sare waliyovaa ilikuwa inampigia kampeni mmoja ya wagombea wa Udiwani wa Ilala.
Watu wamejipanga na sherehe, wamechangia na michango yote, lakini sare ikafanya wengine wazuiwe kabisa kuingia.. kulikuwa na mvutano kati ya Wagombea udiwani wawili ambao wote wamechangia kwenye shughuli hiyo !!

No comments:

Post a Comment