Monday, May 11, 2015

YAYA TOURE ATIMIZA MIAKA 31 NDANI YA MAN CITY

Mashabiki wa Manchester City hawakuwa nyuma kwenye siku hii muhimu kwa Yaya Toure…

yaya
Jana kiungo wa Manchester City alitimiza umri wa miaka 31 wakati akiwa ndani ya kikosi chake hicho kilichokuwa kikicheza na QPR kwenye uwanja wa Emirates.
Baadhi ya mashabiki wa klabu hiyo waliingia uwanjani huku wakiwa wamebeba mabango ya kumpongeza kwa kufikisha siku yake hiyo muhimu kwake.
yayaa
Furaha ya kiungo hiyo ilitimia baada ya timu yake kuweza kuiadhibu QPR kwa jumla ya mabao 6-0 na kuifanya ishuke daraja.
tou
Kwa habari na matukio motomoto kutana nami hapa hapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment