Sunday, May 10, 2015

SHAMRASHAMRA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI

 Mwenyekiti wa kamati ya Afya  Baraza la Madiwani halmashauri ya jiji la Tanga Sele Boss Mustafa, akifungua kongamano la shamrashamra kuelekea  maadhimisho ya siku ya Wauguzi Duniani kongamano lililofanyika leo, wa pili ni mjumbe wa kamati ya Afya, Mussa Mbarouk na wa mwisho ni Mratibu wa Asasi ya Tree of Hop inayojishughulisha na kampeni ya kupinga  ukatili wa kijinsia, Fotrunata Manyeresa.


 Wauguzi kutoka vituo mbalimbali vya Afya halmashauri ya jiji la Tanga, wakiwa katika kongamano la shamrashamra ya maadhimisho ya siku ya Wauguzi  Duniani lililofanyika leo
 Muuguzi halmashauri ya jiji la Tanga, Ester Kimweri, akitoa nasaha kwa wauguzi wenzake kuzingatia maadili ya kazi ikiwa na pamoja na kuepuka kutoa siri za wagonjwa wakati wa kongamano la shamrashamra kuelekea siku ya Wauguzi Duniani.

No comments:

Post a Comment