Monday, May 11, 2015

SHILOLE ALALAMIKA KUPIGWA PICHA ASIYOIPENDA

Shilole kapigwa picha akiwa jukwaani, hajaipenda kwa kuwa inaonesha sehemu ya mwili iko wazi !!

Shilole
Picha inayodaiwa kuwa mbaya ambayo amepigwa msanii Shilole akiwa kwenye show Ubelgiji, picha imeenea mitandaoni.
Shilole amesema alipigwa picha hiyo akiwa hajitambui kwamba nguo yake imechanika na kifuani pako wazi.. Shilole hajapendezwa na mtu ambae kampiga picha hiyo, kwa sababu yeye alikuwa kwenye kazi yake na haikuwa dhamira yake kukaa kifua wazi kwenye stage wakati akifanya show.

No comments:

Post a Comment