Monday, May 11, 2015

VIMBWANGA VYA WALIMWENGU

Kuna hii kampuni ya kutengeneza majeneza ili kuwavutia wanunuaji mtu wangu!!…(Pichaz)

ndege
Si rahisi kuweza kujichagulia jeneza ambalo litatumika kwa ajili yako, lakini kuna stori ambazo zimekuwa zikiandikwa kuhusu baadhi ya watu kujichagulia kabisa sehemu ambazo watahifadhiwa pale ambapo wataaga duniani.
gar
Kuna wataalamu huko Uingereza ambao wameamua kudesign majeneza ambayo kwa kuyaangalia yanavutia sana ili tu kuwavutia watu lakini si kitu ambacho wengi wao wamekuwa wakikifurahia.
gar2
Kampuni ya Halliday Funeral Suppliers ltd ni wasambazaji wa majeneza tangu mwaka 1979 na sasa wamekuja na staili mpya baada ya kubuni aina mbalimbali za majeneza kwa ajili ya kuongeza kipato cha na kuvutia watu yenye muundo wa nyumba, yenye spika za redio na hata za muundo wa ndege.
gar3
Wamekuwa wakiuza uwiano wa majeneza 30,000 ndani ya mwaka mmoja.
gar4

cup
Unahitaji chochote ninachokipata ukipate" ungana nami hapa hapa tangakuemkuchablog

No comments:

Post a Comment