Wednesday, May 13, 2015

SOKONI MGANDINI TANGA

 Wafanyabiashara soko kuu la Mgandini Tanga wakifanya biashara zao katika mazingira hatarishi ya tope kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha mjini humo na hivyo kutaka uongozi wa soko kuchukua hatua za haraka kuepusha magonjwa ya miripuko





No comments:

Post a Comment