Friday, May 8, 2015

UNGEPENDA KUNUNUA GARI HII

Kwa wanaodata na gari za Rolls Royce, hili ni lao kwenye toleo jipya !!

R2Rolls-Royce ni moja ya magari ya kifahari ambayo mimi nimezoea kuyaona tu kwenye video za Mastaa wakubwa wa muziki duniani na ni moja ya magari nadra SANA kukutana nayo mitaani hapa Tanzania.
Nimekutana na post mpya ya  leo  May 8 2015 inayosema hili ni gari lao kwenye toleo jipya
R1
R3
R4
R5
R6
R7
R8
R9
R10
R11Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi hapa hapa tangakumekucha.blogspot.com

No comments:

Post a Comment